Breaking News

NurdinUpdates : Alikiba Aendeleza Kuvunja Historia Oman



Hii ni nyingine kutokea Muscat - Oman ambapo Msanii kutkea Tanzania @Alikiba , The King Himself alikuwa na Show kubwa sana, Kwa Mara nyingine tena, iliyofannyika Mjini Muscat usiku wa kuamkia tarehe 13 February 2019.

Na ilikuwa ni moja Ya Historia ambayo imeandikwa nchini humo kwa msanii kutokea Tanzania Kufanya Show kubwa kwa mara nyingine huko Oman na iliyohudhuriwa na watu wengi mbalimbali kwenye club Lavida.
Pia imeendelea kuonyesha jinsi gani muziki wa Tanzania unaendelea kuteka hisia za watu wengi na tofauti tofauti duniani. kwani kwenye stage @Alikiba aliwaimbisha watu waliohudhria usiku huo Nyimbo zote zilizochezwa siku  hiyo. Jambo zuri ni Baada ya Ommy Dimpoz Kupanda kwenye stage kwa mara ya Kwanza tangu arudi kutoka Kwenye  Matibabu.

Kama ulipiwa nimekuwekea na Kukusogezea show nzima hapa chini kutokea club Lavida Huko Oman - Muscat



Lakini pia leo hebu cheka na #JOTI - Comment Like na Share Pia, Hii hapa






Kaa Karibu Nasi Kupitia Social Media, Kwani tunapatikana kwenye Social Media : facebook @Nurdin Mohamed , Instagram@nurdin_mohamedtz , twitter @nurdinmohamedtz na pia on Youtube @Nurdin Mohamed.

No comments

Weka Ujumbe wako hapa

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();